University Anthem |
Wimbo wa Chuo(Swahili) |
In great and firm reverence to God
Built on a clear and sound vision still Training, studying research and practice To make a world-class University |
Twamshukuru Mungu Wetu
Msingi dhabiti, maono mazuri Kusoma, ujuzi pia utafiti Kuunda Chuo Kikuu duniani |
Steadfast and sure, in service today
Built on a clear vision, and mission Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology A world-class institution of excellence for development |
Imara kweli, kwa huduma
Matumaini kwa maono kweli Jomo Kenyatta chuo chetu, cha Kilimo na Teknolojia Chuo cha kimataifa, kimestawi na kunawiri |
From inception through the ages
In true call of wisdom and prudence Shaping men and women, in truth and spirit Leading the world to achieve great dreams |
Kutoka mwanzo hadi milele
Kwa mwito wa hekima na ufanisi Kujenga vijana wenye uaminifu Kwa muongozo wa enzi bora |
Moulding the worlds great minds and talents
Into best ideas and great inventions To shape the future of our great Nation Seeking the grace and blessings of God |
Kuzipanua bongo na vipawa
Kwa ujuzi bora, ubunifu pia Kujenga maisha ya Taifa letu Kwa neema na baraka zake Mungu |