Kutoa leseni za kuendeleza utafiti na matokeo ya uvumbuzi Mahitaji: Kutimiza idhini za muongozo wa hati miliki ya JKUAT pamoja na kulipa ada zinazohitajika. Malipo: Uamuzi utalingana na hitaji Wakati Maalum: Kati ya miezi 3