Kukubalika kwa wanafunzi

Mahitaji: Cheti C-; Stashahada C; Shahada C+; Uzamili – Shahada ya daraja la kwanza au daraja la pili la juu au daraja la pili la chini + na miaka 2 ya ufanyikazi au daraja la pasi pamoja na miaka 5 ya ufanyikazi au mahitaji mengine yanayoambatana kwa maagizo ya Baraza la Chuo;  Uzamifu – Shahada ya uzamili katika kitengo kinachoambatana

Malipo: Ada ya maombi: Shilingi 500 kwa Cheti na Stashahada; Shilingi 1,500 kwa Digrii, uzamili na Uzamifu

Wakati Maalum: Kati ya wiki 8 ya kufungwa kwa matangazo.