Kufunza na kutahini Mahitaji: Kukubalika, kusajiliwa katika kozi na kuhudhuria madarasa. Dhibitisho la kulipa karo na ada zingine Malipo: Ada za kusoma kulingana na karo zilizoagizwa Wakati Maalum: Kuambatana na mpangilio wa muhula