Kuanzishwa kwa mahusiano na miungano

Mahitaji:  Kulipa ada za ukaguzi zinazohitajika na kutia saini mikataba ya maelewano.

Malipo:  Kati ya Shilingi 50,000 na 150,000 kulingana na umbali wa mahali

Wakati Maalum:  Kati ya miezi miwili (2)