Huduma ya matibabu kwa wafanyikazi, aila zao, wanafunzi na wateja wengine

Mahitaji:

  • Kuwa mfanyikazi wa JKUAT, pamoja na aila zao, au
  •  mwanafunzi aliyesajiliwa chuoni ama baada ya kulipa ada zinazohitajika kulingana na huduma.

Malipo:

  • Shilingi 100 ya kushauriwa kwa kila mgonjwa kila mara (mfanyikazi na aila zake);
  • kulingana na ada zilizokubaliwa (wanafunzi).
  • Shilingi 400 na malipo mengine kwa (wagonjwa wengine).

Wakati Maalum:

Kati ya dakika 30 za kufika hospitalini.